Hivi Ndivyo Nilivyoteseka Na Vidonda Vya Tumbo Kwa Miaka Mitano (05) Mfululizo Nikaja Kupona Kwa Miezi MitatuTu!
Mpendwa Rafiki,
Kama KWELI unataka Kupona VIDONDA VYA TUMBO na kusahau kabisa hali ya kujisikia vibaya tumboni mwako…
Ili uanze kula vyakula unavyovipenda bila kuwa na wasiwasi…
Na kuondoka kwenye karaha za tumbo lako kuunguruma hovyo, kujaa gesi au kupata kiungulia kikali mara kwa mara…
Ili usahau kabisa adhabu za kupata choo kigumu, au choo chenye asili ya mafuta (kuhara) au kinachotoka kama kinyesi cha mbuzi…
Na hatimae ukomeshe kabisa hali ya kujamba jamba hovyo kila wakati ili uanze kujiamini unapokuwa matembezi au unapokutana na watu wako wa maana…
Basi unahitaji kusoma kila neno katika makala hii kwa sababu;
Unaelekea Kugundua Njia Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haina Madhara Yoyote Mwilini Mwako Na Imethibitishwa Na Mamlaka za Afya Duniani Kote Kuponesha Vidonda vya Tumbo Moja Kwa Moja Na Visikurudie Tena!
Kwa majina naitwa Boni Mkomola.
Najua ni kwa jinsi gani Vidonda vya Tumbo vinakukosesha furaha ya maisha yako kwa sababu mimi pia nilikuwa na tatizo kama lako…
Nina uhakika kama ilivyokuwa kwangu hata wewe pia umejaribu njia mbalimbali za kutaka kuondokana na vidonda vya tumbo lakini umeishia kupoteza hela na muda wako kwa kutumia njia ambazo hazifanyi kazi...
Mambo yalikuwa hivi…
Ilikuwa mwaka 2016 mwezi wa 5 ndipo nilianza kujiona niko tofauti kabisa na kawaida yangu kiafya.
Nilikuwa napata uchovu usio wa kawaida, nilikuwa natamani kulala muda wote…
Ghafla tu! vyakula vyangu pendwa ambavyo nilikuwa nakula kila siku vilianza kunipa adhabu kali…
Nilianza kujisikia vibaya sana tumboni, tumbo lilikuwa linajaa gesi sana na nilisumbuka na kiungulia kikali mno…
Kuna wakati nilihisi nataka kujisaidia lakini nikienda chooni naishia kujamba jamba tu hakuna kinachotoka…
Muda mwingine nilikuwa napata choo kidogo sana, kama hakikuwa cha kuharisha basi ni vipunje punje kama vya mbuzi au mara zingine nilikuwa najisaidia kama mafuta…
Mara nyingi nilihisi tumbo langu limejaa jaa sana kitu ambacho kilikuwa kinanifanya nisiwe huru…
Kilichonikera ni hali ya tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujamba jamba hovyo ushuzi ulitoa harufu kali mno…
Kilichonitisha zaidi ni hali ya kila mtu kuona mapigo yangu ya moyo wazi wazi kila mahali kama vile tumboni, shingoni, kwenye misuli ya kichwani na mikononi kwa kuniangalia tu…
Kila mtu alinishangaa...
Muda mwingine moyo ulilipuka ghafla na kuanza kwenda mbio, nilihisi labda nina presha lakini kila nilipopima ilionekana ipo kawaida.
Ilifikia wakati nikaanza kusumbuliwa na ganzi mwilini, kila siku nilikuwa nastuka kwa nguvu usiku nakuhisi kama sina mkono...
Kwa sababu mkono ulikuwa unashikwa na ganzi kiasi cha kwamba nilikuwa nauona lakini nikijishika sihisi kama nimeushika....
Ni kama ulikuwa unapooza flani hivi...
Ili nirudi katika hali ya kawaida kutambua uwepo wa mkono wangu ilitakiwa niupige ukutani kwa nguvu kama kwa dakika moja ndipo naanza kuhisi maumivu kwa mbali na baadae nakaa sawa...
Kuna wakati nilihisi kichefuchefu sana na mara nyingine nilitapika muda mfupi tu baada ya kula…
Vyakula vingi vilikuwa vinanisumbua sana nikila, hali hiyo ilinifanya niwe nakaa na njaa muda mrefu kwa kuogopa kula…
Kila maumivu yalipozidi niliwaza kupata suluhisho la kudumu, lakini maumivu yakipungua nadharau najiona mzima…
Ilipofika mwez wa 8 mwaka 2018 mambo yalibadilika kabisa, homa ilikuwa imechachamaa kweli kweli na uwezo wa kuvumilia ulifika mwisho.
Nikaenda hospitali ya Regence Dar Es Salaam. Nilipofika nikamuona daktari aliniuliza maswali kadhaa namna ninavyojiskia akaniambia niende maabara…
Nilipimwa Full Blood Picture, nilivyorudisha majibu ya vipimo kwa daktari yule aliniuliza umewahi kuumwa vidonda vya tumbo?
Nikamwambia hapana, akaniuliza tena unazijua dalili za vidonda vya tumbo?
Nikamjibu hapana…
Akaniambia vipimo vinaonesha una vidonda vya tumbo na bakteria wa H.Pylori tumboni…
Nilijiuliza imekuwaje napata hao bakteria ikiwa nakula vizuri vyakula ambavyo naamini ni mlo safi kwa maisha ya Mtanzania?
Ile taarifa ilinichanganya sana, kwa sababu wakati nasoma chuo kikuu kuna rafiki yangu alikuwa anaumwa vidonda vya tumbo na nilimshuhudia mara kadhaa akipoteza fahamu kutokana na maumivu ya vidonda vya tumbo.
Kilichonichanganya zaidi ni zile kauli za watu kwamba vidonda vya tumbo huwa haviponi…
Nikajisemea moyoni mwangu kijasiri NITAPONA VIDONDA HIVI NDANI YA MIEZI MICHACHE TU!
Kwa uaminifu kabisa nilitumia dawa za hospitali miaka miwili mfululizo...
Taarifa mbaya ni kwamba Tumbo halikupona wala sikupata nafuu, badala yake niligeuka kuwa mtumwa wa kumeza dawa kila siku.
Nikaona bora nijaribu na dawa za kienyeji (Mitishamba) lakini ndo mambo yalikuwa magumu zaidi…
Nilipoteza pesa, huku nikiendelea kuharibu afya yangu zaidi kwa sababu dawa zingine sikujua hata zilikuwa zinatengenezwa kwa kutumia vitu gani.
Kilichoniudhi zaidi ni ile hali ya kuzinunua zile dawa kwa gharama kubwa halafu nashindwa kumaliza dozi...
Hii ni kutokana na namna zinavyokera kwa uchungu, harufu au kutokana na ladha yake mbaya.
Siku moja niliagiza dawa ya kienyeji kutoka kwa mtu fulani aliyeniaminisha kwamba hiyo ni kiboko ya vidonda vya tumbo...
Weeeh haikuwa dawa kwakweli hiyo ni pilipili tupu, nilihisi nakufa...
Ile dawa ilinipa maumivu makali mno nikaamua kwamba sihitaji tena kutumia dawa za kienyeji.
Nilianza kuamini kwamba kweli vidonda vya tumbo haviponi...
Kwa sababu nilitumia dawa aina nyingi sana za hospitali na za kienyeji hadi nikachoka na kuamua kuachana nazo kabisa…
Kitu kilichonisikitisha ni kupoteza pesa kila kukicha, lakini hali yangu haikubadilika hata kidogo…
Kuna dada yangu mmoja aliniambia kama nataka kupona vidonda vya tumbo basi ninywe mkojo wangu.
Nilikaa wiki nzima nikiuwazia mkojo wangu, niunywe au laa...
Na kila siku tumbo nalo lilikuwa linasumbua ni kama lilikuwa linanihamasisha kujaribu dawa mpya niliyoshauriwa.
Alfajirii moja baada ya usiku wenye mateso makali, niliamua liwalo na liwe mimi sinywi mkojo bali nakunywa dawa nikaona ngoja nianze dozi....
Niliamka nikaenda chooni nikaukinga mkojo, nikanywa kama mafunda matatu hivi…
SIKUSHAURI unywe mkojo, unaharufu mbaya, unachumvi kali na ukakasi, siku nzima sikufurahia hali ya kinywa changu.
Lakini nilipambana wiki nzima kunywa mkojo mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni.
Sikuona mabadiliko yoyote zaidi ya kuchoshwa na kero za harufu ya mkojo nikaona bora niachane kabisa na dawa hiyo…
Wengine wakanishauri ninywe maziwa ya ng’ombe, lakini yakanishinda kwa sababu ilikuwa nikinywa gesi inanisumbua mara dufu…
Kuna rafiki yangu mmoja akanishauri nitumie virutubisho lishe kutoka kwenye kampuni anayofanyia kazi.
Nikamuuliza vinauzwaje? akanielekeza virutubisho vitavyofaa kumaliza tatizo langu, kwenye bei sasa nikaona hasara…
Nikaanza kufanya tafiti kupata virutubisho vya bei nafuu, kweli nikapata virutubisho nakumbuka kabisa hadi jina la ile kampuni lakini siwezi kuitaja hapa nikaharibu biashara za watu.
Nikanunua virutubisho vile nikatumia kwa miezi mitatu kama nilivyoambiwa kwamba nitakuwa nimepona, lakini hali haikubadilika hata kidogo.
Nikawa nimepoteza pesa kwa mara nyingine, nilipata huzuni iliyoambatana na hasira sana.
Ikapita kama muda wa wiki moja hivi natafakari maana kazi haziendi na afya ni mgogoro kwelikweli…
Siku moja nilihudhuria mazishi sehemu fulani, kitu kilichonistua ni pale waliposema ugonjwa uliomuua marehemu ni Vidonda vya Tumbo.
Usiku ule sikulala kwakweli, nilikuwa kwenye dimbwi la mawazo mengi sana. Hii hali yangu mwisho wake lini?
Nikifikiria nina miaka mitano naumwa tu kila siku, je huko ndani hivyo vidonda vinafananaje?
Nikajiuliza tena kwani pesa na uhai wangu kitu gani ni muhimu?
Maana wakati huo nilikuwa na pesa nyingi tu, lakini ile hali ya kupoteza pesa bila kupatikana angalau nafuu ya tumbo langu ndiyo ilikuwa imenikatisha tamaa sana.
Ningechagua nini wakati nilikuwa napungua uzito kwa kasi kubwa na ngozi yangu ilikuwa inapoteza nuru yake ya kawaida kila siku?...
Kuna wakati nilikuwa nahisi kama nawehuka yani, napata mawenge, kichwa kinapagawa, akili kama inazimika,
Yani sielewi namna ya kukuelezea ukapata picha kamili ya ninachomaanisha....
Sikuwa na furaha kabisa, muda mwingi nilihisi huzuni, nastuka stuka hovyo, nina hasira zisizoisha na usiku nilikuwa sipati usingizi kabisa...
Sikuwa na hisia yoyote ya tendo la ndoa, nakumbuka kuna wakati nilikuwa naweza kukaa hata miezi miwili huyu mwenyekiti hasimami kabisa si mchana, si usiku wala asubuhi...
Kiufupi nilikuwa Babu Jinga...
Nilijisemea moyoni mwangu, bora nijaribu tena...
Naweza kuonea hasara hizi pesa ambazo nimezitafuta mwenyewe, mwisho wa siku zikaja kutumika kwa anasa na watu ambao hata hawatahitaji kujua nilizipataje...
Asubuhi tu nikampigia simu rafiki yangu nikamuliza hivi ile dozi ya vidonda vya tumbo ni shilingi ngapi? Akanitajia bei nikamtumia pesa...
Kesho yake jioni nikaenda kuupokea mzigo wangu kwenye magari ya Dar. Nikapewa maelekezo namna ya kuanza kuitumia kesho asubuhi.
Dakika 30 tu baada ya kutumia juisi moja, ilitosha kuamini kwamba sasa naelekea kupona vidonda vya tumbo.
Maana baada ya kunywa ile juice moja tu niliskia ngurumo nyingi mno tumboni mwangu…
Ghafla nilisikia nahitaji kwenda chooni, kufika chooni kazi yangu ilikuwa ni kukaa tu, uchafu uliotoka sikuwahi kufikiria kama nilikuwa namiliki uchafu kiasi kile tumboni mwangu.
Kila siku nilikuwa napata choo kidogo sana, lakini ile siku nilipata choo kingi sijawahi kukiona tangu nizaliwe, cheusi na kina harufu kali mno...
Ndani ya masaa mawili nilikwenda chooni mara saba, mara nne za mwanzo uchafu uliotoka ulionesha kuwa ulikuwa umegandamana tumboni kwa muda mrefu sana.
Baadae yakaanza kutoka maji safi kabisa…
Ile juisi ni kama ilikwenda kusafisha utumbo kama vile utumbo wa mbuzi uwekwe kwenye koki halafu ufungulie maji kwenye bomba kwa spidi kali, unasafisha kila takataka iliyomo kwenye utumbo.
Kama yule rafiki yangu asingeniambia kwamba ndicho kinachokwenda kutokea kwa siku ya kwanza basi ningepata hofu kubwa sana.
Lakini kitu cha kufurahisha ni kwamba tumbo halikuuma hata kidogo na sikupata uchovu kama ambao mtu anaupata anapoharisha kwa kuugua…
Badala yake nilijiona nina nguvu tofauti na siku za nyuma na tumbo langu lilikuwa jepesi sana kiasi cha kuamini hakuna uchafu uliobaki tumboni.
Baada ya kutumia zile bidhaa mwezi mmoja tu, nikaanza kulala fofofo, usingizi mzito kabisa ambao niliukosa kwa siku nyingi sana…
Ngurumo za tumboni zikapotea, gesi ilikuwa imekata kabisa, suala la kupata ganzi na kusikia kiungulia likatoweka.
Kichefuchefu kilitoweka na hali ya kujamba jamba hovyo iliisha, nikaanza kuwa na nguvu "Kama Zamani".
Baada ya miezi mitatu tu naweza kushuhudia kwamba nilikuwa fiti kwa 100%.
Na nguvu ambazo nilikuwa nazo, sina uwezo tu wa kumleta mke wangu atoe ushahidi wa kindoa hapa...
Watu wengi wanaonifahamu walikuwa wanashikwa na butwaa kuniona nakula vyakula ambavyo nilikuwa nivikwepa…
Wakawa wanahitaji niwaambie nimewezaje kupona vidonda vya tumbo?...
Ndipo nilipoanza kuwa wakala wa kusaidia watu kutatua changamoto zao za kiafya kama mimi nilivyosaidiwa…
Hivi sasa ni miaka MITANO na miezi kadhaa tangu nipone vidonda vya tumbo...
Sijawahi hata kuhisi dalili ya vidonda, wala kupata maumivu ya tumbo na kero za vidonda vya tumbo zimebaki kama historia tu maishani mwangu...
Kitu ninachofurahia zaidi ni kuona siumwi umwi mara kwa mara kama ilivyokuwa zamani…
Lakini pia nimewasaidia watu wengi sana kutatua changamoto zao za magonjwa mbalimbali…
Pengine unatamani kujua nilitumia dawa gani ambazo zimenisaidia kupona vidonda vya tumbo.
Usijali ndani ya dakika mbili zijazo nitakwambia nilitumia nini lakini kwanza unatakiwa ujue kwamba…
Tafiti Za Kisayansi Zinaonesha Kwamba 70% Ya Kinga Ya Mwili Wa Binadamu Ipo Kwenye Mfumo wa Tumbo!
Hii ni kwa sababu, tumboni kwako ndio kiini cha Afya yako kwa ujumla.
Mfumo huu unaanzia kwenye mdomo, unaenda tumboni, kwenye utumbo mwembamba na baadae kwenye utumbo mpana.
Lakini kuna viungo vingine ambavyo vinafanya kazi na mfumo huu kwa ukaribu sana, viungo hivyo ni Ini na Kongosho.
Utumbo wako mwembamba una urefu usiopungua mita tatu na nusu hadi mita tano.
Tafiti zingine zinaeleza kuwa urefu wako uwe mara tatu hadi mara tano ndio urefu wa utumbo wako mwembamba ndani ya tumbo lako.
Huu utumbo ni mrefu sana kwa sababu ndio ambao una kazi kubwa ya kunyonya 90% ya virutubisho kwenye chakula unachokula na kuingiza mwilini mwako.
Huu ndio utumbo unaoshambuliwa sana na vidonda vya tumbo…
Lakini utumbo mpana una urefu wa mita moja na nusu yaani futi tano kama upana wa kitanda cha tano kwa sita.
Huu kazi yake ni kunyonya maji, madini mbalimbali na virutubisho ambavyo havikunyonywa vizuri kwenye utumbo mwembamba…
Kwa kuwa mfumo huu wa mmeng’enyo wa chakula ndio kiini cha afya yako basi ubora au uimara wa afya ya mfumo huu unakufanya wewe uwe na afya njema maradufu…
Lakini kama mfumo wako ukiwa na hitilafu na ukashindwa kuchukua hatua za mapema kupata suluhisho la kudumu basi wewe na magonjwa yasiyoambukiza mtakuwa marafiki wakubwa sana…
Na dalili kubwa inayokuonesha kwamba mfumo wa tumbo lako haufanyi kazi sawa sawa ni kujisikia vibaya tumboni…
Hapa mtu huwa unajisikia hali tofauti tofauti tumboni mwako kama vile;
Tumbo lako kujaa gesi sana, kuunguruma mara kwa mara au kupata choo kigumu sana…
Au kupata choo kidogo sana cha punje punje kama za mbuzi au kuharisha utelezi kama mafuta…
Pia unaweza kupata kiungulia kikali na kichefu chefu mara kwa mara…
Au kujamba jamba hovyo, unaweza kwenda chooni kwa lengo la kujisaidia unaishia kujamba jamba tu hutoi kitu chochote.
Vile vile unaweza kupata maumivu makali ya tumbo mara kwa mara au kuhisi tumbo limejaa jaa muda wote…
Dalili nyingine ni kupungua au kuongezeka uzito bila kufanya mazoezi wala kufanya diet..
Wengine hukosa usingizi au wanapata magonjwa ya ngozi au mwili kupata vimbe mbalimbali kama vile;
Henia,Tezi, majipu, vimbe za tumboni, Vimbe kwenye njia ya uzazi (fibroids) na wengine husumbuliwa sana na alleji za vitu mbalimbali…
Dalili nyingine ni kuwa na hisia mbaya. Mtu unajikuta una hasira hasira sana, au una huzuni, au wasiwasi au msongo wa mawazo na kukosa morali ya kufanya shughuli zako za kila siku…
Chanzo Cha Kutengenezwa Dawa Iliyonisaidia Mpaka Nikapona Vidonda Vya Tumbo Na Visinirudie Tena.
Kama unavyofahamu kwamba huwezi ukatengeneza tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui kisababishi cha tatizo hilo ni kipi.
Lakini FOREVER LIVING PRODUCTS katika tafiti zao za muda mrefu wameweza kugundua moja ya visababishi vya tatizo hili…
Na ugunduzi huu wa mojawapo ya visababishi vya watu wengi kusumbuliwa na changamoto za tumbo kwa muda mrefu ndio umepelekea shirika hili la kimarekani kugundua kanuni ya kutengeneza bidhaa asilia kabisa ambazo zinaondoa tatizo hili kwa urahisi sana...
Kisababishi cha watu kuwa na changamoto za tumboni kwa muda mrefu walichokigundua ni Bakteria Wabaya ndani ya tumbo lako...
Naomba nikuelezee:
Mchakato wa kumeng’enya chakula kwenye mwili wako ni mchakakato mrefu sana ukianzia kwenye mdomo hadi uchafu unakoenda kutokea…
Nadhani umejionea mwenyewe jinsi utumbo ulivyo mrefu na namna ulivyojikunja hapo tumboni kwako…
Kwahiyo kuna mambo mengi sana yanatokea hapo katikati. Kama mambo yakienda vizuri hakuna tatizo…
Lakini mambo yakienda vibaya ndipo utajikuta unasumbuka na tumbo lako kwa muda mrefu…
Na hii inategemea sana wewe huwa unaingiza nini kwenye tumbo lako…
Kwa sababu kila unachoingiza ndani ya tumbo lako ni eidha kinakusaidia kupambana na magonjwa au huwa kinaingiza magonjwa ndani ya mwili wako.
Kwa sababu ndani ya tumbo lako kuna matrilioni na matrilioni ya bakteria. Wapo bakteria wazuri lakini pia wapo bakteria wabaya…
Sasa ili uwe na afya njema ya tumbo, unatakiwa uwe na uwiano mzuri wa bakteria ndani ya tumbo lako, yaani uwe na bakteria wengi wazuri kuliko bakteria wabaya.
Watu wengi mamekuwa wakihusisha moja kwa moja maumivu ya tumbo, au hitilafu zinazojitokeza tumboni kuwa ni vidonda vya tumbo kwa 100% kitu ambacho sio sahihi.
Unaweza ukawa unaumwa tumbo kila siku au unapata kero mbali mbali ndani ya tumbo lako kila wakati na usiwe na vidonda vya tumbo…
Bakteria wabaya tumboni mwako wanatosha sana kukupa adhabu ambazo usipokuwa na imani utahisi umerogwa na ukoo mzima…
Ni Kwa Namna Gani Bakteria Wabaya Ndani Ya tumbo Lako Wanasababisha Vidonda Vya Tumbo Na Magonjwa Mengine Yasiyoambukiza Kutokea?
Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asili yake ni kuwa na bakteria. Ndani ya tumbo lako kuna bakteria wazuri na pia wapo bakteria wabaya...
Kwa mtu ambaye ana afya nzuri ya utumbo anatakiwa awe na 85% ya bakteria wazuri na 15% au chini yake wawe bakteria wabaya. Huu ni uwiano mzuri wa afya ya tumbo iliyo sawasawa.
Bakteria wabaya wakizidi tumboni mfumo wa mmeng’enyo unapata hitilafu...
Kwa sababu hawa bakteria wanaathiri utendaji kazi wa mfumo mzima na kusababisha changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo kupata VIDONDA VYA TUMBO
Chanzo kikuu kinachosababisha kuharibika kwa mfumo wako wa tumboni ni wewe mwenyewe kuwaua bakteri wako wazuri ambao ndio ulinzi wako…
Sasa ngoja tuangalie ni mambo gani ambayo unayafanya ambayo yanaharibu bakteria wako wazuri ndani ya tumbo lako....
Kwanza ni Kutokula vyakula vyenye nyuzi nyuzi, mboga mboga na matunda. Ulaji mdogo wa nafaka na vyakula vyenye virutubisho asilia...
Swali la kujiuliza ni: je, unakula mboga mboga na matunda mara kwa mara? Au unakula vyakula vya nafaka?
Jibu ni kwamba mara nyingi tunakula, lakini kwa nini bado tunapata changamoto?
Sababu ni kwamba vyakula vingi vya sasa hulimwa au kuhifadhiwa kwa kutumia mbinu nyingi za kisasa ambazo zinaweza kupunguza virutubisho vyake.
Hata mifugo pia hulelewa kwa njia za kisasa, na mwisho wa siku badala ya kupata virutubisho vingi kwenye chakula, huwa tunapata virutubisho vichache zaidi.
Jambo kubwa ambalo ni hatari zaidi kwa sasa ni kwamba vyakula vingi tunavyokula ni vile vilivyokobolewa
Hali hii hupelekea watu wengi kula vyakula vinavyojaza tumbo tu na siyo kuingiza virutubisho muhimu mwilini.
KUMBUKA: Dunia imebadilika sana, lakini binadamu ni yule yule. Mahitaji ya mwili wako bado ni mlo kamili wenye virutubisho vinavyohitajika ili kuimarisha afya yako.
Sasa wafanyabiashara wanachojali ni PESA YAKO TU, suala la AFYA yako utajijua wewe mwenyewe...
Kwa sababu hawa wafanyabiashara ndio waliobadilisha dhana ya chakula kwa kiwango kikubwa miongoni mwa watu wengi...
Kwa sababu CHAKULA ni kitu kinachoingiza virutubisho mwilini LAKINI kwa sasa watu wengi wanaamini kwamba Chakula ni moja kati ya sehemu za starehe za dunia...
Sasa mwili wako haujengwi kwa vyakula vya starehe bali vyakula vyenye virutubisho...
Mambo mengine yanayosababisha uharibifu wa bakteria wazuri ndani ya tumbo lako ni;
Unywaji wa pombe unaweza kuathiri uwiano wa bakteria wazuri tumboni mwako...
Matumizi ya dawa (antibiotics)bila ushauri wa kitaalamu unathiri bakteria wazuri tumboni...
Vile vile, kutokufanya mazoezi na uvutaji wa sigara, Kutokulala na Msongo wa mawazo wa muda mrefu.
Swali la kujiuliza ni: kwa nini unameza dawa? Jibu ni rahisi tu ili upone ugonjwa wako...
Je, tangu uanze kutumia dawa hizo, sasa hivi ni mwaka wa ngapi?
Hizo dawa zitakuponesha lini? Mbona hizo dawa huziachi na huponi ugonjwa wako?
Kitu usichokijua ni kwamba jinsi unavyozitumia hizo dawa kwa muda mrefu, ndio unaongeza tatizo mara dufu kwa sababu dawa zina kemikali...
Sasa unapozitumia kwa muda mrefu badala ya kutatua tatizo unaongeza tatizo kwa sababu unaharibu bakteria wako wazuri wa tumboni...
Habari mbaya ninayokupa leo ni kukuhabarisha kuwa ''magari mabovu huwa hayavutani abadani asilani...''
Unachotakiwa kufanya ni kuanza kutumia virutubisho lishe ambavyo vinakusaidia kukupa uwiano mzuri wa bakteria tumboni mwako ili kudhibiti changamoto zote za tumbo lako...
Kama Una Vidonda Vya Tumbo Na Umetumia Dawa Kwa Muda Mrefu Bila Mafanikio, Basi Bakteria Wabaya wa Tumboni mwako Ndio Mzizi Wa Tatizo!
Tazama, kisababishi kimojawapo cha vidonda vya tumbo na hitilafu zote za mfumo wa tumbo lako ni Bakteria wabaya.
Kwahiyo, bakteria wabaya wasipodhibitiwa wataendelea kuzalisha sumu nyingi mwilini ambayo itapelekea mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri na mwisho kusababisha magonjwa sugu.
Forever Living Products kwa kuliona hili, wameunda lishe ambayo;
Kwanza, inakwenda kusafisha mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula, kuimarisha uwiano wa bakteria wazuri, na kuupa mwili virutubisho muhimu vinavyosaidia afya njema ya kila siku...
Pili, Lishe hii inakwenda kuujenga mwili wako upya kwa kuupa virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika mwilini hivyo kuufanya mwili uanze kurudi katika afya njema “Kama Zamani”...
Lishe hii imebuniwa ili kusaidia mwili wako kujisikia imara, wenye nguvu, na kupunguza changamoto zinazotokana na mmeng’enyo dhaifu wa chakula...
Kwakuwa kazi ya lishe hii ni kurejesha afya yako katika hali yake ya awali, Forever Living Products wameipatia lishe hii jina la “Recovery Pack” (RP).

Hii RP ni package ya virutubisho lishe vilivyotengenezwa kutokana na matunda, mbogamboga na mimea asilia…
Ikiongozwa na mmea wa Aloe Vera (Aloe Barbadensis Miller), aina bora ya alovera inayotumika kimataifa katika bidhaa za afya na urembo...
Virutubisho hivi vimetengenezwa kwa viambato asilia vinavyokubalika kwa matumizi ya lishe, na vimekaguliwa na mamlaka husika za chakula na dawa (kama FDA na TMDA).
Forever Living Products ni kampuni ya KWANZA kupokea muhuri wa Kuidhinishwa na Baraza la Kimataifa la Sayansi la Alovera kwamba bidhaa zao zina kiwango cha alovera zenye ubora unaokubalika Kimataifa.
Vile vile virutubisho hivi vina nembo ya Halal, ikimaanisha vinakubalika kwa matumizi ya watu wenye imani ya dini ya Kiislamu.
Pia vimepewa nembo ya Kosher, uthibitisho wa wayahudi ikiwa ni alama inayokubalika kimataifa kwa usalama, usafi na ubora wa chakula.
Kwa kuongezea, bidhaa hizi zinapatikana katika nchi nyingi duniani, jambo linaloonyesha kukubalika kwa viwango vya ubora katika masoko mbalimbali.
Si hivyo tu
Forever Living Product ni mwanachama wa chama cha uuzaji wa moja kwa moja Direct Selling Association...
Yaani bidhaa zetu hupitia viwango vya kimataifa vya ubora na usalama kabla ya kufika sokoni...
KUMBUKA: hizi SIO DAWA, bali ni virutubisho lishe vinavyoweza kusaidia kuimarisha kinga ya mwili wako na kudumisha afya ya mmeng’enyo wa chakula.
Kwa kifupi, RP imekusudiwa kusaidia mwili wako kujisikia imara zaidi na kupunguza usumbufu wa tumbo, ili ufurahie maisha kwa kujiamini.
Hakika Bidhaa Hizi Ni Njia Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Watu Wengi Wameipenda.
Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia package hii wana yafuatayo ya kusema:













Kama unavyoona, hayo ndiyo waliyoeleza baadhi ya watu waliokabiliana na changamoto za tumbo baada ya kutumia Package hii ya “Recovery Pack”...
Fanya maamuzi sahihi na kwa wakati kwa sababu wewe usipolishughulikia tatizo basi tatizo litakushughulikia wewe...
Usije ukashindwa kufanya maamuzi ya mapema, mwisho ukanitumia meseji ya majuto kama aliyonitumia huyu ndugu hapa chini...
Niliwasiliana nae kwa miaka mitatu mfululizo bila kufanya maamuzi yoyote na mwisho akanitumia ujumbe huu ulionisikitisha sana...

Recovery Pack (RP) imebuniwa kama mpango wa siku 90 wa lishe ya afya ya tumbo...
Mpango huu unalenga kusaidia kusafisha mfumo wa mmeng’enyo, kuimarisha uwiano wa bakteria wazuri, na kuupa mwili virutubisho muhimu vinavyosaidia afya njema ya kila siku...
Matumizi ya RP ni rahisi na yanaweza kuunganishwa na ratiba yako ya kawaida ya chakula...
Kwa kuwa RP ni lishe na si dawa, inaweza kutumika kama sehemu ya mlo wako wa kila siku bila kuathiri matumizi ya dawa zako za hospitali...
Baadhi ya watu wameripoti kuona mabadiliko chanya ndani ya muda mfupi wa matumizi ya Recovery Pack...
Ushuhuda wa furaha na shukrani kutoka kwa wateja umekuwa sehemu ya thamani kubwa zaidi kwangu katika safari hii kuliko hata PESA.
Recovery Pack (RP) Inagharimu Kiasi Gani ?
Bei ya kawaida ya Recovery Pack ni Tsh 700,000/=
Lakini kwa wewe mteja unaeanza safari yako ya kwanza hautalipia hiyo Tsh. 700,000/= kupata bidhaa za mwanzo wa safari yako...
Tunatoa bei ya utangulizi ya START YOUR JOURNEY RP kwa bei ya;
TSH 420,000/= TU.
Hii ni fursa ya kujaribu bidhaa kwa gharama nafuu zaidi...
Kuna sababu kwa nini nimeamua kutoa punguzo kubwa la bei kwa kiasi hiki.
Sababu ya kwanza ni kwamba, watu wengi wamepoteza imani na bidhaa za mtandaoni kwa sababu nyingi huuzwa kwa bei kubwa na hazitoi matokeo ya kuridhisha...
Kwa hiyo kampuni yetu inatoa dhamana ya kurudisha pesa kwa mtu ambaye amenunua bidhaa za mwezi mmoja na hajapata uzoefu wa kuridhisha...
Kwa hiyo nakupa dozi ya mwezi mmoja kwanza ili ujionee mwenyewe thamani ya bidhaa, au urudishiwe pesa zako ikiwa hutapata kile tulichokueleza...
Sababu ya pili ni kwamba napata wateja wengi kupitia watu ambao wamefurahia mabadiliko chanya ndani ya siku 90 za kutumia RP...
Wengine baada ya kuona manufaa wananiomba niwasajili ili wanunue bidhaa zao kwa punguzo la 30% moja kwa moja kutoka kwenye kampuni...
Kwa hiyo natarajia mambo matatu kutoka kwako;
Moja, upate msaada wa kudumu wa afya ya tumbo lako, mbili, uniulize namna ya kukusajili ili ujinunulie wewe na ndugu zako kwa punguzo la 30% kwa maisha yako yote...
Au uniletee watu wengine ili na wao wapate msaada wa afya kupitia mimi...
Nina uhakika utapata thamani kubwa kutoka kwenye bidhaa hizi na pia utakuwa balozi mzuri wa kuniletea wateja wapya...
Lakini punguzo hili la bei halitakuwepo siku zote...
Kwa sababu; Kwa sasa tuna dozi chache za awali za mzigo huu tu.
Mzigo huu ukiisha itakubidi usubiri kidogo mpaka mzigo mpya utakapofika kutoka Marekani...
Lakini pia hata bei haitakuwa hii kwa sababu utatakiwa kulipia bei kulingana na thamani ya dola itakavyokuwa kwa wakati huo kwani kutakuwa na ongezeko la bei kwa 5%...
Kwahiyo ni vizuri ukufanya maamuzi mapema ili uiwahi bei ya offer na pia uwahi mzigo mchache uliopo.
KUMBUKA: Ugonjwa wako ni biashara za watu kwa sababu unanunua dawa zao kila siku na hauponi...
Kwahiyo wao wanakuchukulia wewe kama chuma ulete wao…
Watu hao wanapambana kufuta kurasa za watu ambao wamedhamiria kuwasaidia watu kutatua changamoto zao za muda mrefu...
Hivyo sio kwamba ukurasa huu utaweza kuupata kila siku utavyoingia mtandaoni.
Kwa hiyo ni vema ukafanya maamuzi ya haraka ili usikose nafasi hii kabla ukurasa huu haujapotea mtandaoni...
Usipange kusubiri kwa sababu changamoto inaweza kuendelea kukusumbua na kukuletea usumbufu zaidi kadri muda unavyopita.
Sikuombei ifikie hivyo, lakini ni vyema ukachukua oda yako mapema kwa sababu zipo oda za watu 20 tu kwa sasa...
Pengine umetumia bidhaa au dawa mbalimbali lakini hazijakuletea nafuu ya kudumu, na umeishia kupoteza pesa zako bila kuona mabadiliko makubwa.
Naelewa unavyojisikia, na kwa kukuhakikishia thamani ya bidhaa hizi, nakupa dhamana (Guarantee)

Dhamana hii iko hivii...
Tumia dozi ya RP kwa muda wa siku 90 nina uhakika utaipenda. Ikitokea kwa sababu yoyote ile hujaipenda RP
Au haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0707430207 kutoa taarifa na kampuni itakurudishia pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Aidha Recover Pack ikusaidie umalize tatizo lako kabisa au urudishiwe pesa zako zote. Huna cha kupoteza.
Unachotakiwa kufanya ni kulipia bidhaa zako za mwanzo au kuniuliza namna ya kukusajili ili ujinunulie mwenyewe....
Kumbuka unatakiwa kuanza safari yako ya mwezi wa kwanza kwa kulipia
START YOUR JOURNEY RP TSH. 420,000/= Tu!
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya LIPA NAMBA ya Mixx By Yas (TigoPesa)
18 46 78 22 Jina ni Boniface George Mkomola.
Au
CRDB Bank Acc No 0152319628200 Jina ni Boniface George Mkomola.
Au piga simu 0707430207 nikuelekeze namna ya kulipia wewe mwenyewe kupitia lipa namba ya kampuni...
Weka “ODA YAKO” ukiwa Mkoa wowote nitakusafirishia mzigo wako Bureee kabisa kwa mikoa yote ya Tanzania.

Weka “ODA YAKO”.
Kwa kulipia Start Your Journey Recovery Package yako kisha nitumie muamala wako kama uthibitisho wa oda yako ili nikutumie RP yako.
Kujaza fomu ni rahisi sana...
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa ''ODA YANGU'' ...
Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako...
Bonyeza sehemu hii sasa hivi....
Baada ya oda yako kuthibitishwa utaipata package yako ya RP ndani ya masaa 24 tu.
Ahsante kwa muda wako.
Ni mimi,
Boniface George Mkomola
>>>0707430207<<<
P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu 20 tu kwa sasa. Saa iliyopo hapo chini itakaposoma sifuri maana yake oda zote zitakuwa zimechukuliwa na tangazo hili hutaliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kuutangaza kwa mara nyingine.
Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.